Skip to main content
Msanii ney wa mitego ampa wasiwasi mamake.
- Msanii wa bongo fleva,Emanuel Elibariki almaarufu kama Ney wa Mitego ampa wasiwasi mamake baada ya kuachia wimbo wake kwa jina Mungu yuko wapi, mamake Ney amesema kuwa Ney alikuwa akimshirikisha mamake wakati wa kuachia wimbo lakini kwa wimbo huu mpya hakushirikishwa.
- Na pia amesema huwa anasikia kwa majirani kuwa mwanawe ni Mjenzihuru(freemason) hadi kufikia kukosa usingizi kwa ajili ya mwanawe.
- Mamake Ney amesema hayo baada ya kuhojiwa na chombo cha dollar inchini Tanzania.
Comments