Mbogi genje ni kundi la wasanii watatu kutoka Nairobi na wanafanya vizuri katika tasnia ya muziki hapa nchini Kenya,na waliweza kuachia ngoma yao mpya ambayo walimshirikisha Khaligraph Jones kwa jina "warena",na hivi juzi kulifanyika tamasha la "Skiza" ambalo lilifanyika Murang'a na kuhudhuriwa na wasanii mbalimbali akiwemo Dazlah,Ali B,Susumila na wengineo bila kusahau watu mashuhuri na viongozi wa serikali akiwemo seneta wa siaya James Orengi,na baadaye aliweza kupost kwenye akaunti yake ya Twitter kuwapongeza mbogi genje
Comments