Msanii wa bongo fleva Emmanuel Elibariki almaarufu kama Ney Wa Mitego ambaye mara nyingi huwa anawakosoa viongozi pamoja na serikali ya Nchini Tanzania,hatimaye ametangaza kugombea nafasi ya ubunge ifikapo mwaka wa 2025,hii ni baada ya msanii huyo kupost picha yake katika akaunti yake ya Twitter na kuisindikiza na caption iliyosomeka,
Comments