Yamey Gang kufadhiliwa na Gavana Kingi on July 30, 2021 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Kundi la waimbaji la Yamey gang kutoka Kilifi lililotamba na ngoma yao inayoitwa "majani" kufadhiliwa na gavana kingi,hii ni baada ya gavana Kingi kupost picha katika akaunti yake ya Instagram akiwa ofisini na vijana hao Comments
Comments