Mchekeshaji Eric Omondi amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kwa hasira na kuwashutumu waandalizi wa hafla kwa kuwapa wasanii wa kigeni kipaumbele na kuwadharau wasanii wa Kenya wanaocheza pamoja nao.
"These Kenyan Artists wataendelea tu kuumia na Kudharauliwa mpaka siku ile wataniskia... Asiye skia la Mkuu Huvunjika guu... Anyway Plans are underway to bring up a totally new breed of musicians hawa washatuangusha," Ameandika Eric kwenye page yake ya Instagram.
Comments