Msanii City Boy kutoka Mombasa amshtaki mtangazaji wa Pwani Fm na ambaye pia ni Meneja wa 001 Music Gates Mgenge pamoja na Susumila,,kupitia page yake ya Instagram,msanii City Boy ameandika ",
Am Really sorry #CityGang ๐ Due to UnderPayment and tricks of #EricGatesMgenge & #Susumila after the agreed amount from the governor @joho_001 i Couldn’t perform … (Management was never given the deposite they promised b4 & After the poster was Made)
Its not the First time they pulled the Trick na #Susumila & #GatesMsenge wanaenda kumuambia @joho_001 kwamba mimi huwa sitaki issue za county na Kujaza Unafki ndio ili wapewe wao 5million kwa project ya Mamangina ๐ง(Governors fireworks) … Mimi ni mwananchi nimezaliwa mombasa , nimekulia Mombasa na nalipa tax/Kodi ya Nchi na naheshimu sana Serikali yangu ๐..Sijawai tegemea pesa ya #susumila wala Gatesmgenge ambayo wanapewa na county kulipa wasani ila namtegemea Mungu , NguvuZangu na mashabiki wanaonisupport..
(Kesi ipo kotini kutumia jina na Image ya Brand Cityboy kwa poster zenu #Ericgates na #Susumila ili mradi Kunivunjia mashabiki zangu #CityGang na kujipendekeza kwa county government ) ๐๐Nina vijana wenzangu wengi Tunapambana ili tupate Riski ๐
Nina imani @joho_001 hajui haya yanayotokea kwa ground , Si twaendelea Kutafuta tuh ๐ช๐ค
Comments