Willy Paul amemwandikia barua mke wa bahati na kuomba msamaha huku akiweka wazi kuwa hajawahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Diana Marua
Kupitia barua inayonekana mtandaoni Msaani Willy Paul anadaiwa kumwandikia Diana Marua huku akiweka wazi kuwa madai yote aliyoyaibuwa lengo lake lilikuwa ni push Album yake.
Vile vile barua hio inaeleza kuwa Diana aliyetajwa na Willy Paul kwenye disss truck yake sio mke wa msaani Bahati, na kueleza kuwa wandishi wa habari za burudani ndio walio toa dhana kuwa ni mke wa diana.
Kauli hii inajiri hukuikibainika kuwa Willy Paul alipokea barua kutoka kwa wakili wa Diana waliompa makataa ya muda wa masaa 24 kuomba msamaha lasivyo afunguliwe mashataka yakuchapisha taarifa za uongo
Comments